Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

Hata sielewi. Mama yangu akiwa na miaka 30 katuzaa wote tayari na nilikuwa namuona ni bonge la jimama😂😂😂😂eti sasa hivi na mimi ndio nipo huko huko😂😘😂
Mama zetu wengi tulikuwa tunawaona wakubwa aseeh, Ila ukifkia umri wao kipindi hicho unaona tofauti hata wazee wetu, maybe mambo yamebadilika unakuta mama kafunga kitambaa kichwani hiko kanga kiunoni basi tafrani
 
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 🤔

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Ni changamoto gani ambazo unahisi zinawakumba hao vijana wa kuanzia 30 to 35, kutokana na uzoefu wako, ukiachana na hizo tajwa hapo juu?
 
Bwashee kwa hizi familia zetu apache alolo changamoto kubwa mitaji ya biashara ,kujilinganisha kuogopa kufa , familia na changamoto ya kuanza upya .
 
Nina safari ya muongo naa kufika hiyo 40 ila natetemeka nikiona bado mambo mengi duuh,

Nikifika umri huo nitafurahi na kuingia utu uzima sasa, nadhani nitarudi kulitumikia kanisa katoliki nikiwa bruda 😅

Chezea kuku na wine
 
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 🤔

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Oh! 1985 bye bye UDSM. Kweli tumezeeka
 
Nina safari ya muongo naa kufika hiyo 40 ila natetemeka nikiona bado mambo mengi duuh,

Nikifika umri huo nitafurahi na kuingia utu uzima sasa, nadhani nitarudi kulitumikia kanisa katoliki nikiwa bruda 😅

Chezea kuku na wine
Bwashee katika kima ambae angepaswa kutetemeka kwenye umri wa miaka 33 ni mimi🤔
 
Back
Top Bottom