Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

Ila katika yote tusiache kula bia , nimekosa buku ila bia lazima nile bwashee
😄😄Kuna jirani yangu asubuhi anaazimia kabisa kuwa kaacha pombe ila mchana tu unamkuta ashatupia vitu, unamuuliza mbona ulisema hunywi tena utasikia yale ni maneno ya kukosa pesa tu nikipata pombe ndo kitu cha kwanza nakumbuka 😄
 
Bwashee nimeweka maaskari kina mpaka humu nimeishia kuwatukana
 
😁😁😁Napiga kambi hapa.
Nipo kwenye 30’s za mwanzo, kichwa ni cha moto sana. Kila kitu naona hakiko kwenye mpangilio.
Biashara imeni stress nimepoteza nyele kichwani nimebaki na solor, na mvi kwa mbaali zimeanza.

Oya ni kamzozo🙌🏽
 
Back
Top Bottom