Kwani kataja kitimoto sheikh wangu hapoVyakula vya kikafiri hivyo shekh
Sijazizoea kabisaa😁Bwashee hiyo ipo kwenye vinasaba tu
Uyu inawezekana umri umeenda make uwa anaongea vitu vilivyonyookaIla mkuu unajikuta babu saaana 🤣
Ukute wewe ni jamaa tu hivi uko na miaka Yako 42 unajiona jf nzima we ndiyo babu
Kuna jamaa humu alisema nyie ndiyo kizazi Cha hovyo kuwahi kutokeaVijana wa miaka hiyo wamekuwa legelege sana, ni tafauti na sisi vijana wa miak 1940; tulipofikisha miaka 15 tulipambana kuwafukuza wazungu
Sasa mnapaka super black ili iweje?? Mvi si zinazidi?Mi kijana wa 1988 ,January ila supa blaki imekolea ,ni mamviii.Na mimi nimwendo wa kutembea na kimswaki tu .
Mimi mpaka unyoaji na super black mpaka zinanitambua.Ila majaliwa anawaka kitu black safi kabisa
Huyo Mzee Mohamed Said ana miaka mingapi kaka nipate kitu fulaniAiseeee,kwamba 34 ni mjukuu kwako? Mpo rika moja na akina mzee Mohamed Said ?
Mi namfata role model wangu Mzee Kassim Majaliwa.Sasa mnapaka super black ili iweje?? Mvi si zinazidi?
Suruhu ni ktafuta pesa kijana wa 1988 unakuwaje na mviSasa mnataka super black ili iweje?? Mvi si zinazidi?
Kwamba ana miaka 70 unakubali 🤣Uyu inawezekana umri umeenda make uwa anaongea vitu vilivyonyooka
Wewe ni mzee, vijana kuanzia 2000Mi kijana wa 1988 ,January ila supa blaki imekolea ,ni mamviii.Na mimi nimwendo wa kutembea na kimswaki tu .
Huo umri lazima ubatizwe kwa moto. Ukitoka hapo wewe dhahabu safiRealistically 30 to 36 ndo umri wa kijana kuelewa na kujitambua !!!!!
Kuacha maujinga yote na ku focus
Zikizidi sana unaitwa LOWASSA acha tuuMvi sio uzee nilianza kupata mvi nikiwa 28, ni jambo la kurithi nadhani