Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

WhatsApp Image 2026-07-29 at 06.35.35.jpeg
 
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 🤔

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto ya kipara na kitambi 🤔

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Mwaka huo nilikuwa L.Y😂
 
Back
Top Bottom