Shikamoo babu.Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January , kwa sasa tunatimiza miaka 40 na na wale wa mwishoni 86 🤔
Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia , kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo , ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔
Kwa ,uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Wa kutuchamba🤣🤣Nasubiri Uzi mwingine😁,najua ukilewaga.
Lugha zao mavijanaa🤣Imenichukua sekunde 120 kuelewa hii title View attachment 3639237
Babu kama babu🤣Nilijua tu shindii😅
Hili ni janga kabisa, videvu na nywele zina mvi utadhani watu wapo 60+Eeeh basi wewe 40 bado. Wenye 40 ndevu zimejaa mvi tu😂😂
😹😹😹Imenichukua sekunde 120 kuelewa hii title View attachment 3639237
Sijui ni vyakula au ni nini jamani. Kupoteza nywele na ndevu kuwa na mvi inaanza mapema sana. Hadi za puani😂😂Hili ni janga kabisa, videvu na nywele zina mvi utadhani watu wapo 60+
Unatamani kuitwa BibiSoon naingia floor ya 3, navopenda uzee sasa, nikiingia floor ya 4, ni shangwe tupu.
Itafikia wakati uliulizwa umri wako unaanza story nyingine, najua saivi ukiulizwa umri chaap tu, "I'm 25"Soon naingia floor ya 3, navopenda uzee sasa, nikiingia floor ya 4, ni shangwe tupu.