min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,837
- 169,654
- Thread starter
- #201
Bwashee, kwenye miaka ya 20 nilikua na maisha ya ndoani , nilifunga ndoa ni binti mmoja mrembo , niliishi kama vijana wengi wanavyotamani humu , ila mwisho wa siku tulizinguana vibaya mno , na ikawa chachu ya mimi kufikiri tofauti kuhusu maisha na ndoto zangu, kiufupi bado kuna level ya pesa nataka nifike🤔