Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,792
Huyu kafanya kusudi huyu😂
Huyu kafanya kusudi huyu😂
Allah akuwie radhi maalimNaam ustaadh Kibua!
Hahaha mtu yupo 40 amejaa nywele masikioni😅😅😅Sijui ni vyakula au ni nini jamani. Kupoteza nywele na ndevu kuwa na mvi inaanza mapema sana. Hadi za puani😂😂
😂😂😂😂😂😂balaaa. Na wakati enzi hizo wababu ndio wanakuwa na vywele za masikioni.Hahaha mtu yupo 40 amejaa nywele masikioni😅😅😅
😂😂😂 tena ninavyopenda kuweka wazi umri wangu.Itafikia wakati uliulizwa umri wako unaanza story nyingine, najua saivi ukiulizwa umri chaap tu, "I'm 25"
Umeona ee 🙌😅😅😅Huyu kafanya kusudi huyu😂
Siri ya mavi anaijuwa mnyaji 😀Imenichukua sekunde 120 kuelewa hii title View attachment 3639237
Sanaa, uzee ni baraka.Unatamani kuitwa Bibi
Uzi wa kuomba msamaha sio?Nasubiri Uzi mwingine😁,najua ukilewaga.
Eeeh,utafika tu😁😁Soon naingia floor ya 3, navopenda uzee sasa, nikiingia floor ya 4, ni shangwe tupu.
Mtu ajichanganye😁😁😁😁Uzi wa kuomba msamaha sio?
Huu uzi umeletwa kwa hisani ya Bia.
Jambo la kheri sana hilo kumtakia nduguyo kheri zaidi.Aamin!Allah akuwie radhi maalim
Naona kamix na bhuju so kichwa kimewakaJamaa keshalewa bia za moto
Kwahiyo now una 29Eeeh,utafika tu😁😁
Mwaka najiunga jf mdau mmoja aniuliza umri wangu nikamwambia Nina 32yrs,,,kipindi hicho Nina 24yrs😁😁😁
Ananiambia ukifika 32yrs utakuwa unasema una 23yrs.
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️Kwahiyo now una 29
Ukifika 30 utajua badala ya kuwaza kuongeza umri utaanza kuwaza kupunguza.😂😂😂 tena ninavyopenda kuweka wazi umri wangu.
Natamani hata nidanganye niweke nilizaliwa zamani, natamani ukubwa mnoo.
Nina 34yrs ila kidevuni nina mvi kama 3 hivi,ilianza moja naona zinaongezeka...Eeeh basi wewe 40 bado. Wenye 40 ndevu zimejaa mvi tu😂😂
Inshallah maalimJambo la kheri sana hilo kumtakia nduguyo kheri zaidi.Aamin!