Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 šŸ¤”

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto ya kipara na kitambi šŸ¤”

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 šŸ¤”
Aisee, kumbe umezeeka sana bana
 
Yaani mkuu umenisema mimi kila kitu. Usikute vijana wote wa umri huo maisha yetu yanafanana šŸ¤”
 
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 šŸ¤”

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto ya kipara na kitambi šŸ¤”

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 šŸ¤”
Bado minne šŸ¤”
 
Vijana tunahangaishwa na magari na maisha mazuri tusijue watu wameyavumilia, kupambana kukosa na kupata mpka kufikia hapo

Sasa sisi mtu anasema weka laki upate million, hufikirii laki Tisa itatoka wapi ??

Nadhani vijana tuwe na subra na nidhamu ya kazi, pesa na kutengeneza uhalisia kwenye utafutaji nje ya hapo ni vilio
Unanisema mkuu, niko
Pole sana dogo shikilia hapohapo usikate tamaa, giza likizidi kunakaribia kupambazuka
napambania sana na ninaamini nitatoboa. Sema mkubwa mimi sio dogo nina 30+ ni old enough
 
Mi naamini katika Rika zaidi kuliko Umri, Ukifuatilia Miaka stress zinakua nyingi na changamoto zisizoisha za kila siku maana utaishi kujilinganisha na wenye umri kama wako kumbe kirika unaweza jikuta upo miaka 10 nyuma ya uliyonayo na ukapata nguvu yakuendelea kuipambania kesho yako.
 
Bangladesh imeiomba India kueleza msimamo wake kuhusu mpango wa aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, Sheikh Hasina kuhutubia kwa njia ya mtandao akiwa New Delhi, ikisema kuruhusu shughuli za kisiasa za kiongozi anayesakwa kunaweza kuathiri uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Bangladesh imekuwa ikiomba India imrejeshe Hasina tangu alipokimbia nchi mwaka 2024. Hasina anakabiliwa na hukumu ya kifo kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu na ufisadi.
Screenshot_20260804_161154_InstaPro%20.jpg
 
Back
Top Bottom