Watu wanataka kuvaa uchi
Wewe mbona hautembei uchi?Wanakudhuru vipi wakivaa uchi??
mising inawekwa na nan ? kama wenye nchi hawaitak ?Kila nchi ina misingi yake... Kama hauwezi kuifuata, ondoka
kweny kanisa anasali mungu au mwanadam ? tumiagq akili , ukiambiwa ukwel elewa acha lig za kitotoMungu hawezi kujenga kanisa mpaka tutoe sadaka,fungu la kumi!?
kanisa anasali mwanadam wala mungu ana shobo na kanisa , ila mtu asimtaka mungu hupasw mlazimisha maana kiama kipo , sasa sijui nan kawapa mamlaka ya kutoa amriMungu hawezi kujijengea mwenyewe kanisa na kujihubiri mpaka ajengewe na watu na ahubiriwe na watu!?..kwa nini asipige yowe mwenyewe huko mbinguni!?..Hana kinywa,hawezi!?...Vita vya msalaba alikua anapiganiwa mungu gani!?
Kanisa anaabudiwa mungu,nyumba ya mungu...kwa nini asijenge mwenyewe nyumba yake mpaka ajengewe na watu!?...kwa nini huyo mungu asiyepiganiwa asihubiri mwenyewe tukamsikia badala yake mnahubiri nyinyi,hawezi kuongea,au Hana sauti,hajiwezi!?kweny kanisa anasali mungu au mwanadam ? tumiagq akili , ukiambiwa ukwel elewa acha lig za kitoto
Umekula!?kanisa anasali mwanadam wala mungu ana shobo na kanisa , ila mtu asimtaka mungu hupasw mlazimisha maana kiama kipo , sasa sijui nan kawapa mamlaka ya kutoa amri
Kama na wewe Mwislamu wa Tanzania unaunga mkono ujinga wa kufunika nywele wanawake wa Iran, wakati wenyewe hawataki, jipime kama una akili au kamasi kichwani.Ficha ujinga wako
alshabab walichokozwa na nan mwaka 2007 ?Msingi wa Vita kwenye uislam ni huuu Quran 2:190 fight in the cause of Allah 'only' against those who wage war on you....hakuna Vita muislam atapigana bila kuchokozwa
yaan mteja akujengee duka , si ndio ? waumin wa uislam kichwan huwa ni sifur kbs , kanisa anaingia binadam kusali halaf unataka mungu akujenge ,kwan kati yako na mungu nan anajipendekeza kwa mwenzie ?Kanisa anaabudiwa mungu,nyumba ya mungu...kwa nini asijenge mwenyewe nyumba yake mpaka ajengewe na watu!?...kwa nini huyo mungu asiyepiganiwa asihubiri mwenyewe tukamsikia badala yake mnahubiri nyinyi,hawezi kuongea,au Hana sauti,hajiwezi!?
Ndio wajifunze kufuata sheria za nchi yao... Kama wewe unavyozifuata za hata TanzaniaWaondoke waende wapi na ni nchi yao?
Wenye nchi walikua wapi tokea 1979 wakat sharia zinapitishwa mpaka leomising inawekwa na nan ? kama wenye nchi hawaitak ?
Huyo mungu wa aina hiyo hapaswi kuaminiwa hana msaadaMungu hawezi kujipigania.. mpaka apiganiwe na binadamu
Unashangaa hilo, urusi inatumia drones, missiles, tanks n.k kumpigania mungu wa kikristo, na wale mapdre sijui mnawaitaje wanaiombea dua urusi kutwaBunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
View attachment 2389746
Hao MAGAIDI acha wafeHalafu nashangaa wanaomshabikia Urusi wote ni waabudu wa muddy