TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,377
Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni.
Ile ambulance đźš‘ kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa.
Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu.
Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa na msafara wake, akiwa anaelekea eneo la kunadi sera.
Mbele tu hapo barabarani mdipo uone tofauti ya ambulance ya mgonjwa na raia wa nchi nyingine alikuwemo askari kasimama pembeni ya barabara, angalia picha juu.
Hiyo ni gari ya escort upande wa kushoto ilikuwa iisogeze katikati gari ya muheshimiwa ila kwa kuwa kuna mtunza usalama wa raia na serikali wakaona ana thamani ndipo ndg dereva wa gari ya ulinzi wa msafara akaona alitupe mtaloni hapa chini.
Hii inatufundisha na kutupa picha ya thamani ya maisha kwa askali wetu na walinzi wa raia kuwa na thamani kubwa.
UPDATE: