msema_kweli
Senior Member
- Nov 6, 2013
- 178
- 101
Huu utaratibu wa wafanyabiasha wandogo ulikuwa ni wakishezi kabsa
Nyumbu wanamuingiza mkenge rais Samia ili baadae wapate wafuasi wa kuhudhuria maandamano yaoUnachosema ni sawa Ila Nina Imani hujavaa viatu vyao mkuu. Geuza shilingi uwe ndo wao sidhani Kama ungeshabikia.najua utaendelea kuitetea kwa hoja Ila achana na shida mpaka unakosa buku mfukoni
Kosa kubwa Sana ni kutenganisha machinga na stand.Kila ilipo stand ya bus ni lzm machinga wawepoIla watu wanashindwa kuelewa ,tatizo la wamachinga wanaweka biashara kwenye barabara kabisa na ndio chanzo cha foleni huko DAR.
Hata wasipokaa barabarani wakapelekwa sehemu husika lazima mtu aende kufuata mahitaji,kwahiyo hata wakiondolewa wakapelekwa sehemu mahususi kwa kufanyia biashara watu wataenda kununua bidhaa zao.
Kwasasa wamachinga ni kero tupu kwenye barabara na road reserve.
Kosa kubwa Sana ni kutenganisha machinga na stand.Kila ilipo stand ya bus ni lzm machinga wawepo
Ukianza hilo jela ipo tatizo liko wapi?na hii tabia iliyozuka miaka hii, kundi la watu likiathiriwa tu kutokana na sababu yoyote ile, wanakimbilia eti wataanza wizi/ujambazi!!jela si zipo utahifadhiwa huko.Safi sana futa vibanda vyote Tanzania nzima mjini na majijjini na vijiwe vya toyo vyote vitoke, tuanze kukabana vichochoroni
Mkuu nimemaanisha waliojenga nyumba za blocks za kuishi na za biashara pembezoni ya road kuu.Machinga walikuwa wanapigiwa x inakaa?
hebu kumbuka vizuri maisha ya machinga na mama ntilie kipind cha JK
Viondoke tu maana "kiongozi wa wanyonge" hayupo. Ni uchafu unaotia kichefuchefu!Ni uchafu viondolewe haraka sana miji iwe misafi
Kipindi cha jk waliokuwa wanapata wakat mgm na kash kash ni machinga wanaotembeza bidhaa mbali mbali.Machinga walikuwa wanapigiwa x inakaa?
hebu kumbuka vizuri maisha ya machinga na mama ntilie kipind cha JK
Uchafu kama uchafu mwingine comradeViondoke tu maana "kiongozi wa wanyonge" hayupo. Ni uchafu unaotia kichefuchefu!
Hatuwezi kulea uchafu katikati ya majijiKipindi cha jk waliokuwa wanapata wakat mgm na kash kash ni machinga wanaotembeza bidhaa mbali mbali.
Kila kitu kikikaa ovyo huo ni uchafuNdio Mana nilikua namkubali MAGUFULI Raisi wa wawanyonge
Endelea kuwa mnyongeNdio Mana nilikua namkubali MAGUFULI Raisi wa wawanyonge
Inashangaza sana hii nchi, soko kubwa vile lkn halina tija, yn ile machinga complex inaweza kumeza wafanyabishara wote wa pale karume na kumeza machinga wote wa kariakoo lkn cha kushangaza wanataka kufuata mteja alipo badala mteja afuate huduma, waende tu pale tutawafuata tu sio kufanya jiji liwe hivi, haikubaliki.YAANI MJI UMECHAFUKA SANA AFADHALI, SISI WAENDA KWA MIGUU TULIKUA TUNAPATA SHIDA SANA KUTEMBEA, HAKUNA NJIA YAANI.
TENA KAMA WANACHELEWA, HAWA WATU WAENDE MACHINGA COMPLEX PALE. SISI TUTAWAFUATA HUKO.
Mambo wa jiji hawajatembeza kipondo kwa kipindi kirefu,naona sahv wanapasha misuliNyumbu wanamuingiza mkenge rais Samia ili baadae wapate wafuasi wa kuhudhuria maandamano yao