Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Ila watu wanashindwa kuelewa ,tatizo la wamachinga wanaweka biashara kwenye barabara kabisa na ndio chanzo cha foleni huko DAR.

Hata wasipokaa barabarani wakapelekwa sehemu husika lazima mtu aende kufuata mahitaji,kwahiyo hata wakiondolewa wakapelekwa sehemu mahususi kwa kufanyia biashara watu wataenda kununua bidhaa zao.

Kwasasa wamachinga ni kero tupu kwenye barabara na road reserve.
Kosa kubwa Sana ni kutenganisha machinga na stand.Kila ilipo stand ya bus ni lzm machinga wawepo
 
YAANI MJI UMECHAFUKA SANA AFADHALI, SISI WAENDA KWA MIGUU TULIKUA TUNAPATA SHIDA SANA KUTEMBEA, HAKUNA NJIA YAANI.

TENA KAMA WANACHELEWA, HAWA WATU WAENDE MACHINGA COMPLEX PALE. SISI TUTAWAFUATA HUKO.
Inashangaza sana hii nchi, soko kubwa vile lkn halina tija, yn ile machinga complex inaweza kumeza wafanyabishara wote wa pale karume na kumeza machinga wote wa kariakoo lkn cha kushangaza wanataka kufuata mteja alipo badala mteja afuate huduma, waende tu pale tutawafuata tu sio kufanya jiji liwe hivi, haikubaliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii naunga mkono kabisa,kwa Dar imekuwa kero sana mtaa mzima umefungwa kwa mameza huwezi hata kupita.Ukikanyaga bidhaa unakoromewa.Mji unakuwa mchafu kwa mabanda.
 
Back
Top Bottom