mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Huu ni uongo hakuna kitu kama hicho Dar.Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.