Doriani, wengi linawashinda wabara ila mie cku ya kwanza kuletewa nikawaambia jiko la shamba halichagui kuni nkaligonga fresh tu
Kuwala hawa yataka ununda maana hunuka km mkojo



TaammmuuuDoriani, wengi linawashinda wabara ila mie cku ya kwanza kuletewa nikawaambia jiko la shamba halichagui kuni nkaligonga fresh tu

fanya dear uje utupe mrejesho siku ukimaliza
Mauaji diet ndio ipoje hio?nilishajaribu nilinenepa
yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.
89huwezi sababu mwembambaungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi![]()

...
sijaijaribu bado Nkamu.Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twin
89...
Jitahidi tahidi angalau zifike 75.
Mimi nadhani hata nikija kunenepa hiyo diet sitaiweza
Bora nifunge ijulikane tu nimefunga,
Ila diet ya kunywa maji pekeyake au yai moja na karotisijaijaribu bado Nkamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauaji diet ndio ipoje hio?

Nimeanza na Tangawizi na limaoView attachment 1855627
Mwe poleacha Nkamu ndo napambana hapa

No kawaida tu ntajuanikiwa juu mzani Twin?
Unanifurahisha sana na uhalisia wako

yaani pan ya ricecooker imegeuka sufuria
YammyVimfupa flani laini ukivisaga utasikia kwarachiii kwarachii
View attachment 1852804
