shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,162
- 10,382
Dada dadaaaa yatakukuta mamboBora hata hii inashawishi kufanyia diet![]()





Dada dadaaaa yatakukuta mamboBora hata hii inashawishi kufanyia diet![]()





At your own riskHii diet mbona kama inasababisha vidonda vya tumboau ndio dalili zenyewe za mauaji
![]()



Mambo gan tena dada?Dada dadaaaa yatakukuta mambo![]()

Badala ya kupungua unaongezeka kwa kasi ya 5GMambo gan tena dada?![]()








Kwa kweli mi siwez ,at their own riskAt your own risk![]()
Em niambie ukila hivi Kila siku unanenepa?,nahitaji kupata kamwili angalau kidogo maana sio kwa wembamba huuBadala ya kupungua unaongezeka kwa kasi ya 5G![]()
Punguza stress then penda kula kula tu,yaani wewe kula tu kila kinachokuja mbele yako.Em niambie ukila hivi Kila siku unanenepa?,nahitaji kupata kamwili angalau kidogo maana sio kwa wembamba huu
Sawa dada ntafuata ushauriwakoPunguza stress then penda kula kula tu,yaani wewe kula tu kila kinachokuja mbele yako.
Lazima vinyama viongezeke hapo
Hata hivyo wakati mwingine mwili huwa unakuja tu wenyewe.


Hii diet mbona kama inasababisha vidonda vya tumboau ndio dalili zenyewe za mauaji
![]()
Kama afya mgogoro iacheKupungua kuzuri ni mazoezi na hakikisha calories unazokula ni chache kuliko unazotoa.
Kama unakula 1000 cal hakikisha unapunguza 1500 cal. Hiyo 500 cal deficit ndo inaleta kupungua kwa mwili in the long run.
Nilikuwa na 90kg. Nikaanza mazoezi ya kukimbia km 15 kila siku kasoro jmosi na jpili.
Ndani ya miezi mitatu nikapungua kama 10kg. Kwa siku nilikuwa nachoma between 1800 - 2000 cal.
Na sikubadili mwenendo wa kula. Nilikuwa nakula hovyohovyo vilevile.
Hizo diet hapo juu zinaweza kukuua huku unajiona.
Jamba utakayojamba baada ya hapo, utajinasa kibao mwenyewe


Mambo ya afya mkuu😂 😂 😂Jamba utakayojamba baada ya hapo, utajinasa kibao mwenyewe![]()