Uzi wa vyakula tu

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
3,761
2,000
Ukiendekeza sana ndugu utakufa njaa...kamshahara kanakatika na sijapiga hata supu ya mapupu View attachment 1845496 View attachment 1845497 View attachment 1845499 View attachment 1845498
20210708_090838.jpg
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,217
2,000
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
naona tukubaliane tu kwamba jina moja linaweza kutumika kwenye kitu zaidi ya kimoja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom