Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,620
Dah mzee baba unantia udenda bado sijauona wa mida ya Dochi veleUHAKIKA..SINDIOView attachment 1851467
Dah mzee baba unantia udenda bado sijauona wa mida ya Dochi veleUHAKIKA..SINDIOView attachment 1851467
Ngavu.we SI ulipiga mtibwa db...Sasa Mimi leo sikugonga tea nilikuwa na ka show flani Cha kumsafishia mwanangu mmoja kiwanja chake ndo maana nimegeuza mchana huu nikaliunga la kizushi ngoma mpaka jioni hio...Sasa hv naingia kitaa majabalini kuzuga naweka pozi mpk jioni MB 1024 zipo uhakikaDah mzee baba unantia udenda bado sijauona wa mida ya Dochi vele
Mkuu unakula kipendacho roho kabisa




Vizuriubunifu mkuu wangu

Hahahah 1GB uhakika,,, mie leo napiga acapella mpaka mishale ya BBC london niko clanga session kitaa!Ngavu.we SI ulipiga mtibwa db...Sasa Mimi leo sikugonga tea nilikuwa na ka show flani Cha kumsafishia mwanangu mmoja kiwanja chake ndo maana nimegeuza mchana huu nikaliunga la kizushi ngoma mpaka jioni hio...Sasa hv naingia kitaa majabalini kuzuga naweka pozi mpk jioni MB 1024 zipo uhakika
Nzr tatizo sina uhakika wa kushibaMorning guys.
Karibuni sanaView attachment 1850254

Duh asee kweli we mbabe chunga SanaHahahah 1GB uhakika,,, mie leo napiga acapella mpaka mishale ya BBC london niko clanga session kitaa!
Vilikuja vikaisha yani havina hamu na mimi😅 maana nikiwa tight siwazag kulaDuh asee kweli we mbabe chunga Sana
VITONDA VYA TUMBO VINAZUILIKA
Unaenda hatua tatu mbele halafu unarudi hatua tano nyuma...shauri yako mkuu asilimia kubwa Sana ya magonjwa Ni vyakulaView attachment 1851499
diet ishanishinda nijisosomole tu
Unaenda hatua tatu mbele halafu unarudi hatua tano nyuma...shauri yako mkuu asilimia kubwa Sana ya magonjwa Ni vyakula
Mkuu haka Ni ka mbuzi RC?Mchana mwemaView attachment 1851528
Fanya ile diet ya nyama nyama wanaita sijui ketoView attachment 1851499
diet ishanishinda nijisosomole tu







badala ya kupungua ningenenepa tenaFanya ile diet ya nyama nyama wanaita sijui keto![]()
Ningekuwa kibonge ningefanya ile,nashindia nyamanyama,samaki,mbogamboga na matundabadala ya kupungua ningenenepa tena


nilishajaribu nilinenepaMimi baada ya kula Kuku mwezi mmoja👇😁kuku ndiyo ugonjwa wangu mkubwa, kungekua na diet ya kuku nisingenenepa
nilishajaribu nilinenepa
yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.






hiyo mauaji diet ndo unashindia nini?