Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
hiyo mauaji diet ndo unashindia nini?


hiyo hapo sema huwa naifanya once per year nikiona mwili umezidihiyo mauaji diet ndo unashindia nini?


hiyo hapo sema huwa naifanya once per year nikiona mwili umezidiUkifanya hii unaweza kufanya shughuli zako za kawaida kabisa,yaani hata ukiwa job unapata nguvu ya kuongea na wenzako na kucheka kawaida kabisa?
Ukifanya hii unaweza kufanya shughuli zako za kawaida kabisa,yaani hata ukiwa job unapata nguvu ya kuongea na wenzako na kucheka kawaida kabisa?
Hapo kwenye kunywa maji huku ukiwa na njaa ndio shughuli bora skimmed milk.
Jembe hilo.Vimfupa flani laini ukivisaga utasikia kwarachiii kwarachii
View attachment 1852804
Hapo kwenye kunywa maji huku ukiwa na njaa ndio shughuli bora skimmed milk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha pwepweeeh
😂 😂 😂magimbi mzee umenikumbusha mbali sana ...SONGEA hiyo..... ukitoka hapo nguvu za kulaumu serikali zinakuepo
Hapo unaseti silaha safi
Cha asubuhi lazma kiwe heavy ndio siku isonge aisee! 🤣Mkuu unakula kipendacho roho kabisa
Sausage,mayai,maziwa mwee![]()
Ile ya 13 days hemu ikumbushie.nilishajaribu nilinenepa
yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.
Ntakufa
