Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ile ya 13 days hemu ikumbushie.

Na hio ya eggs

IMG_6943.jpg

IMG_0942.jpg

hizo hapo kipnz
 
Dah
Diet ya maji haki siwezi.
Mtapata vidonda vya tumbo.

Natamani atokee mtu anipunguzie unene,nimpe wembamba.

Sent using Jamii Forums mobile app

huwezi sababu mwembamba ungekua chinene ungeweza.

mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi
 
Back
Top Bottom