Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawapitia pitia huko juu utaona
mwee uzi wa vyakula tumeugeuza wa story![]()
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa
hazipo mbali ni hapo juu tuNo kawaida tu ntajua

Am waiting darlingTwin ngoja nipungue nitakutumia before and after![]()

Haya sasa pambana nayoHio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa

huwezi sababu mwembambaungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi![]()
Haya sasa pambana nayoView attachment 1856079




Wewe unae ngapi?Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twin
Nashukuru Sana umenirahisishia maishaHaya sasa pambana nayoView attachment 1856079

Hii diet mbona kama inasababisha vidonda vya tumboHaya sasa pambana nayoView attachment 1856079
au ndio dalili zenyewe za mauaji

Kuwa serious basi90 mkuu![]()
Mimi modo bana natamani niongeze kilo hapa niko na futi 6 inch 2 na kgs 70 hapa.Tuanze mazoezi best![]()
Bora hata hii inashawishi kufanyia diet
