Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Jana
maili 11000 mama nipae na ungo labda,nakujaKaribu
Kwa kweli Mama anajua kulisha.Analisha sana ila hata chura haiji!![]()




Hahahamaili 11000 mama nipae na ungo labda,nakuja
Nipo hapahapa sawasawa ( in Tundu voice)😅😅😅🏃🏻Hahaha
Haupo bongo nini boss
Haragwe unaweka sukari, kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali
![]()


jaribu uwone utamu wakeLabda nina ushamba ulionizidi, ila sukari kwa maharagwe hapana aisehh noooooooHujui kula wewejaribu uwone utamu wake


Utahudhuria???😏😏Naona unataka unaandaa darasa la mapishi
Itabidi siku moja nije nikutoe, tupitie maeneo ukaonje supu ya pweza! Au unasemaje!?Pweza hata sijawahi kula
Sijui hata ananogaje

Ugomvi sio lazima mpaka mtu arushe ngumi!


