UlipoteaNdiyo
UlipoteaNdiyo
Matatizo mdogo wangu.Ulipotea
PoleMatatizo mdogo wangu.
Nilikuwepo ila nilipumzika kwa muda.
Napenda hizi bagia
Yani nilitamani ziwe mara mbili ya hapo kwa idadi 😄Napenda hizi bagia
Huwezi amini nimezikumbuka leo mpk nikatamani kesho asbh nipande treni ya Ubungo asbh kuna kuaga na mama anaziuza maeneo ya Buguruni mnyamaniYani nilitamani ziwe mara mbili ya hapo kwa idadi![]()
Niko pwani hii ya Darslammsasani na nunua
View attachment 1619263
Kitu cha chapati na harage jekundu la sukari na hiliki