Haya ngoja niandae somo ....Tuanze na chochote unachokipenda sana kula, mwanafunzi nataka nikifika nyumbani nikorofishe madikodiko
Acha pombeLuch at work..just the way I likeView attachment 1624860
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mpaka jicho uyo
Sijui hata ina ladha gani dada angu....mie kilevi changu chaiAcha pombe
Nitake radhi Mimi Dada?Sijui hata ina ladha gani dada angu....mie kilevi changu chai
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app

Umeachia kidogo?
Sio kidogo....cha kukutosha kabisa 🙂🙂Umeachia kidogo?
Embu picha yake nione kilichobakiSio kidogo....cha kukutosha kabisa![]()
Binti unajipenda weweLuch at work..just the way I likeView attachment 1624860
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app

Hii sio kitimoto
Sawa nasuburi mpishi wangu hodariHaya ngoja niandae somo ....
🙂🙂Embu picha yake nione kilichobaki
😆😆😆😆 eti hodari.Sawa nasuburi mpishi wangu hodari
HahahahaHii sio kitimoto
Mkuu ww n mdau kama mm?Hii sio kitimoto
Hiyo wanaitaga nini mamy?