Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Haragwe unaweka sukariView attachment 1619263
Kitu cha chapati na harage jekundu la sukari na hiliki



, kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali
Dogo unapenda kula, leo sijaona soda
Hiyo pembeni ni supu ya pweza
Nimekula mihogo tu Leo.Dogo unapenda kula, leo sijaona soda
HapanaHiyo pembeni ni supu ya pweza
Nikajua umepiga pweza mwanawaneHapana
Sijala mihogo mwaka wa 3 sasa..inabidi nikaitafute aisee
Pweza hata sijawahi kulaNikajua umepiga pweza mwanawane
ItafuteSijala mihogo mwaka wa 3 sasa..inabidi nikaitafute aisee
😬 Iyo pili pili nayo unaitafuna
NdiyoIyo pili pili nayo unaitafuna
Mmh