Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
View attachment 1622114View attachment 1622115
Mazoezini
Nikitoka hapo Kama natoka jogging
Anayehitaji nimsukumie chapati
Yeahhh. Unapenda???Wow!
Hizo ni bamia?
Yeah! Napenda sanaa yaani hapa adi mate yananitokaYeahhh. Unapenda???
Kabisa mimi tena, nikikosa mimi usifundisheUtahudhuria???![]()
Pole kwa kukutamanisha dingimtoto 😔😔Yeah! Napenda sanaa yaani hapa adi mate yananitoka
🤣🤣🤣 basi ukiwa tayari ndo uniambie darasa lianze 🤗Kabisa mimi tena, nikikosa mimi usifundishe
Nahitaji kujua nyama kuwa nyekundu hivyo nini kimetumika?#Kulakwaafya!View attachment 1623431
Aisee! Sijui ni viungo gani maana mimi simtaalamu wa viungoNahitaji kujua nyama kuwa nyekundu hivyo nini kimetumika?
Nipo tayaribasi ukiwa tayari ndo uniambie darasa lianze
![]()
Haya chagua tuanze na nini.....🙂Nipo tayari
Tuanze na chochote unachokipenda sana kula, mwanafunzi nataka nikifika nyumbani nikorofishe madikodikoHaya chagua tuanze na nini.....![]()
Tuanze na chochote unachokipenda sana kula, mwanafunzi nataka nikifika nyumbani nikorofishe madikodikoHaya chagua tuanze na nini.....![]()