babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Umetuzuga mbona nyama Hii!
Umetuzuga mbona nyama Hii!
Evening kunako kwa brother Peter Mo mikocheni....What a preparation...
Jr![]()



Karibu mzee wa chura nimekumissRafiki nakuja kumla mpishi pamoja na chakula atakachopika!![]()
Hodari kumjua chuchungeChuchunge mtamu sana Mkwe kama jodari. Wana tabia ya kupenda kutoboa Mtumbwi.
Umeona Mama Mkwe nilivyo hodari?
Sent using Jamii Forums mobile app


Daah naona hivi wakati mimi nimeshinda njaa siku nzima....
Daah naona hivi wakati mimi nimeshinda njaa siku nzima....
Vyuma vimekaza mkuu.