Ukimaliza kula hayo maboga unakuwa kidume haswa in term of sexual ability
Mkwe farkhina najua nimechelewa ila najua utakuwa umeniwekeaView attachment 1030357
Katles za samaki moto moto.
Mkwe THOMASS SANKARA uwahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe farkhina hizo nyama uwiiii minyoo yangu imepatwa na fadhaiko.
Mkwe farkhina hizo nyama uwiiii minyoo yangu imepatwa na fadhaiko.
Hiyo pembeni ni juice ya ukwaju?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe farkhina hizo nyama uwiiii minyoo yangu imepatwa na fadhaiko.
Hiyo pembeni ni juice ya ukwaju?
Sent using Jamii Forums mobile app