THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Monday special
#Mweziwamapendo
Mbona HAFU KEKI nyingi sana!
Kande ni mchanyiko wa mahindi na maharage pamoja na maji ndani humo kitu kinapikwa masaa kama yote kama ni kijijini basi wanaweka na mchicha bwasi na maboga
Kwa ajili ya akiba kwa siku za mbeleni halibsi hali nduguMbona HAFU KEKI nyingi sana!