cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,669
- 5,034
Hapana mkuu iyo ni stua tumbo ya asubuhi kwa sisi mabachelorUnaumwa? Kama ndio pole sana
Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu iyo ni stua tumbo ya asubuhi kwa sisi mabachelorUnaumwa? Kama ndio pole sana
Jr
Nashukuru mimi ni mzima wa AFYA.Huyu mkwe wangu THOMASS SANKARA ni pro haswa MaashaAllah.
Sijambo mdogo wangu Vipi wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaa sana tu,ila weye fundi haswaa huishiwi na cha kupika farkhina
Mbona nyama mbichiAsubuhi mtori chapati nyama ya mbuzi View attachment 1026140View attachment 1026141
a tree is known by its fruit
😋😋😋 iyo nyama tuu na kinywaji
Msosi unangaa kama theluji..damn
Smoothie ya mtindi na tui la nazi na vannila kwa mbaliya nn hii
Naomba