Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Ugali kingfish
Be Humble is free of charge
Be Humble is free of charge


Mkuu naomba nichukue walau Strawberries 2/3 kama hutojali?
Hapana braza protein ni nzuri sana kwenye diet kuliko wanga so kwa kipindi hiki chakula.changu ni protein tuNukta tumekuona aisee unakula mayai sana utakua bonge zaidi![]()
Hongera kuishi kimalengoHapana braza protein ni nzuri sana kwenye diet kuliko wanga so kwa kipindi hiki chakula.changu ni protein tu
Mkuu naomba nichukue walau Strawberries 2/3 kama hutojali?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ahsante rafikiKaribu rafiki!
Daaah, sawa mkuu.
Aisee baadhi ya picha zako zinanikumbusha mgahawa fulani wa Ethiopia upo kule Zanzibar unaitwa something Abyssinia....
Umetisha.
Braza wewe ni fundi hatari sana.....
Jamani weee kaka looh
Wewe jamaa kama uko Dar itabidi tutafutane tuu