Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habarini Wadau,

Natafuta mashine na supplies za kutengeneza chakula cha kuku ;
1. ya umeme ( three phase), isiwe na complications nying, iwe strong.
2.ya kawaia katika ku operate.
3. Soko litakaloniwezesha kupata raw materials kwa bei fair.( mahindi, pumba,n.k)

Karibuni kwa maoni
 
Wapi nitapata Laptop Used (ZILIZOTUMIKA NJE) Kwa bei ya Jumla kuanzia Pc 5+ naomba kuelekezwa wanapouzia na mawasiliano pia,

Muuzaji asiwe wa reja reja tafadhali .

Asante
View attachment 1720562
 

Attachments

  • IMG_20200708_140822.jpg
    IMG_20200708_140822.jpg
    171.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom