korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 659
Ingia insta Kuna mtu anajiita hakikaicecream mashineNaombeni mnisaidie kupata connection wanapouza mashine za kutengeneza lamba lamba za stick kwa Dar es salaam.
Ingia insta Kuna mtu anajiita hakikaicecream mashineNaombeni mnisaidie kupata connection wanapouza mashine za kutengeneza lamba lamba za stick kwa Dar es salaam.
Wana sifa gani hawa (soso)...?Ninauza Kuku aina ya soso being no ahilingi 15000 nipo chanika DSM. 0693389482
Wana sifa gani hawa (soso)...?
Tsh ngapi?Kama unahitaji mobile toilets pia I lie kwenda name biashara yako ya kukodi maturubai sisi tupo, bei ni nafuu. Pia unaweza kulipia kidogo kidogo. Piga/ whatsapp 0768 333 953. Tufollow insta @hassandkikstoilets uone bidhaa zetu mbali mbali. Karibu View attachment 1718326View attachment 1718327
Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSOWana sifa gani hawa (soso)...?
Upo wapiKuna raia alikuwa ana deal na mkaa hembu anicheck nahitaji mkaa sana tujue namna ya kufanya biashara
Kwa sasa bado alizet ipo juu subiri ianze kutoka kwa wingiNaomba connection ya mafuta ya ALIZETI toka singida kwa bei nafuu hata kama hayana lebo.... Mi nipo moshi 0768494699
Nenda TabataNaomba uzi huu unisaidie kupata connection ya wauzaji wa vifaa vya umeme kwa bei ya jumla.
Ulifanikiwa kupata?Wapi nitapata Laptop Used (ZILIZOTUMIKA NJE) Kwa bei ya Jumla kuanzia Pc 5+ naomba kuelekezwa wanapouzia na mawasiliano pia,
Muuzaji asiwe wa reja reja tafadhali .
Asante
View attachment 1720562
Hapana mkuu... kuna tetesi tu amaeneo ya chang'ombe wanauzia kwenye godwon huko napo ni hadi ufahamiane nao au upatiwe CONNECTIONSUlifanikiwa kupata?
Mkuu habari yako ulifanikiwa kuzipata hizo pili pili manga.Pls wapi nitapata pilipili manga kwa bei nzr, mkoa upi zinapatikana sana
Kama unataka viatu vya mtumba na jinsi njoo Uganda huku utapata mtumba grade 1Naomba connection ya jinsi ya kupata Viatu vya mtumba