Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Maharage ya njano huko ndo yana mpendwa afu pia yani huku maharage yao yapo kma kama kokoto ukiyapika sio chini ya masaa 4 ndo yana hiva. Kwa hiyo ukileta maharage yetu yale jino moja utafanya biashara sana tu

Kilo moja ya maharage sh ngapi huko Uganda? Afu nasikia Uganda kuna uhaba wa vyakula je ni kweli?
 
Naitwa shafii hemedi nipo handeni tanga umri miaka 28 elimu yangu n secondary. Natafuta mtu ambaye naweza kufanya nae biashara ya kuku mwenye kujua masoko kazi yangu mimi itakuwa n kukusanya mzigo maporini. Shukrani wakuu.
Huko Handeni maziwa mtindi wanauza sh ngap kwa lita?
 
Back
Top Bottom