Tembo2
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 460
- 765
Kuna vya lindi na tunduruWakuu nimekuta Halmashauri hizi tu chache..
Nahitaji kiwanja Manispaa ya Mtwara na Halmashauri ya Mji Masasi View attachment 2904933View attachment 2904933
Kuna vya lindi na tunduruWakuu nimekuta Halmashauri hizi tu chache..
Nahitaji kiwanja Manispaa ya Mtwara na Halmashauri ya Mji Masasi View attachment 2904933View attachment 2904933
Tundurubkuna fursa gani?Kuna vya lindi na tunduru
kilimo cha korosho na madini yapoTundurubkuna fursa gani?
Jamaa wameniambia eti namba yangu ya Nida na namba yangu ya simu haviendani ,ila nilitaka kujisajili ninunue viwanja..
Tuelezee zaidi kuhusu hiyo PremiumNimeupitia na kuna baadhi ya viwanja Nimeanza kulipia sema kuna mapungufu
1. Kuna mda mfumo unakua haupatikani
2. Kuna mda unaingia unakua wilaya ime ongezeka ukija baadae hutaiona tena. Mfano Bagamoyo, bahi, iringa hizi inakuja na kupoteza naanza kuhisi hua wanaziweka akiwa na wateja wao. Mfano bahi na iringa viwanja ilikua bei ya mserereko
3. Kwenye kiwanja ukianza kulipia kulikua na gharama za kuandaa hati, nmechukua mm viwanja viwili ila ss kuna kitu inaitwa Premium kimeongezwa na mwanzo hakikuepo kabisa na ni hela ndefu
4. Ni hongera system ukilipa mda huo huo chat inasoma.
Kama kuna mwenye kuongeza karibu
Mm mwenyewe sjajua ni nn na hakuna Sehem ya mawasiliano na wenye websiteTuelezee zaidi kuhusu hiyo Premium
CCM hawajawahi kufanikisha jambo kwa heri, ni lazima watafute uchochoro wa upigaji tuMm mwenyewe sjajua ni nn na hakuna Sehem ya mawasiliano na wenye website
Hiyo ni website ya TamisemiMm mwenyewe sjajua ni nn na hakuna Sehem ya mawasiliano na wenye website
Hii premium sijui ni kitu gani, ni mpunga mrefu sana huu. Ni kama 25% ya thamani ya kiwanjaMm mwenyewe sjajua ni nn na hakuna Sehem ya mawasiliano na wenye website
Mwanzo hakakuepoHii premium sijui ni kitu gani, ni mpunga mrefu sana huu. Ni kama 25% ya thamani ya kiwanja
Mwanzo hakakuepo