kwenye kuiba helaHivi Mchechu ni mzur kwenye nin...
Zanzibar ni sehemu ya TzWazanzibari wanakula nchi yetu wanavyojisikia wakati nchi yao waneificha nyuma hawataki mtu aiguse
Ni kweli, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ila Tanzania sio sehemu ya Zanzibar.Zanzibar ni sehemu ya Tz
Usifananishe hazina na wizara yoyote,kapanda huyoHii ya Msechu ni kupanda cheo au demosition?
By the way Kwa nini majina Yale Yale miaka na miaka?
Kenya iko ndani ya muungano.Mbona kamteua huyo jamaa Mkenya kwenye shirika la Nyumba ?
Kabla ya GIMCO alikuwa NHC pamoja na Mchechu kabla Magufuli hajawatimua bila sababu kwa WIVU wake.Mtu anatoka Gimco. Kikampuni cha kijanjakijanja na kuwa Mkurugenzi wa NHC? Maajabu aisee.
Mungu yupo na atatenda tena si siku nyingiHilo ndilo genge la mafisadi,kipindi cha jpm yalipukuchuliwa,baada ya operation kukamilika,sasa ni kula bata tu,
Wivu gani?Kabla ya GIMCO alikuwa NHC pamoja na Mchechu kabla Magufuli hajawatimua bila sababu kwa WIVU wake.
Wangekuwa mafisadi basi wangekuwa wamehukumiwa na Mahakama. Magufuli alikuwa hapendi watu wenye akili. Yeye alikuwa anapenda kuzungukwa na mazwzwa kama Prof Kabudi, Aggrey Mwanri au MakondaHilo ndilo genge la mafisadi,kipindi cha jpm yalipukuchuliwa,baada ya operation kukamilika,sasa ni kula bata tu,
kameanza kumea kwa kasi sasa iko waziKumekucha.
Hamad Abdallah anayechukua nafasi ya Mchechu siyo Mzanzibari. Please do your fact check before you mumble hereWivu gani?
Nyie wazanzibar mnatuharibia nchi , muda si mrefu Tanganyika itaanzwa kuomba kupitia vuguvugu , maana Teuzi nyingi anayependekeza ni mtoto wa Mama
Walete cv za hao wanaosema wazanzibari, au majina ndiyo yamewachanganya?Hamad Abdallah anayechukua nafasi ya Mchechu siyo Mzanzibari. Please do your fact check before you mumble here
Je TPDC ni mambo ya Muungano?Hamad Abdallah anayechukua nafasi ya Mchechu siyo Mzanzibari. Please do your fact check before you mumble here