Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

Dr James G

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
159
Reaction score
273
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Rais amepatia sana, ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nini kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu, vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius.

Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa. Ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa.

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu, building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa.

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina, Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge, Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake. Amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness, creative leadership, and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu.
 
Nimesoma uzi mzima ila sijaona jambo au mambo gani hasa ambayo yamewahi kuboreka kutokana na utendaji wake.
Itoshe kusema huu uzi ni wa kichawa zaidi.

Tatzo hujamfatilia ndio maana unasema hivyo ,mengi yameboreka akiwa shirika la Nyumba,na sasa mengi yanafanyika akiwa Kama Msajili wa Hazina
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa

Hongera Nehemia Mchechu
Umeandika maneno mengi lakini hakuna evidence yoyote ya huo ufanisi wake .
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Mchechu ni mmoja wa vijana wenye " ku think outside the box",
Alivyo na ujuzi wa project financing kutokana na uzoefu wake akiwa mtumishi mwandamizi katika mabenki, na ule wa NHC project execution, ataisaidia sana serikali kwani kote alifanya vyema kitaasisi.
Tunajua urasimu ulivyo serikalini na ule umimi unavyoangamiza up coming talents.
Tukipate vijana wengi kama Mchechu Tafa litasonga bele.
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu,vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius .Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa.ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu ,building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa,

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina ,Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge ,Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake.amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Wakitoa taarifa za kifedha za kila quarter kama sheria inavyotaka basi ntakiri ameweza, lasivyo ni mbwembwe
 
Mchechu ni mmoja wa vijana wenye " ku think outside the box",
Alivyo na ujuzi wa project financing, na ule wa NHC project execution, ataisaidia sana serikali kwani kote alifanya vyema kitaasisi.
Tunajua urasimu ulivyo serikalini na ule umimi unavyoangamiza up cominh talents.
Tukipate wengi kama Mchechu Tafa litasonga bele.

Kweli kabisa Taifa Linahitaji Mchechu wengi Sanaa kwenye taasisi za umma na serikali kuu
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu,vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius .Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa.ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu ,building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa,

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina ,Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge ,Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake.amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Tanzania ukiona mtu anasifiwa mpaka huku jf jua sio bure kuna jambo , unawezaje anza msifia mtu mapema hivi,
Hoja afanye kazi watu watona watasema acheni unafiki na uchawa wa kijinga
 
Huu ufanisi atauonyeshaje kwenye taasisi za umma na serikali ambako kumejaa urasimu, bora angejikita kwenye taasisi binafsi ndo tungeona huo ufanisi huko, kama vipi apewe kimeo cha ATCL aanze kututengenezea faida badala ya kuishia kuwa msajili........ngumu kumesa.​
 
Mchechu ni mmoja wa vijana wenye " ku think outside the box",
Alivyo na ujuzi wa project financing, na ule wa NHC project execution, ataisaidia sana serikali kwani kote alifanya vyema kitaasisi.
Tunajua urasimu ulivyo serikalini na ule umimi unavyoangamiza up cominh talents.
Tukipate wengi kama Mchechu Tafa litasonga bele.
Acha uongo hizo project za NHC alizofanya za maana ni zipi?,kujenga majengo ambayo badaye wapangaji wanakosa?
Kujenga nyumba za gharama badaye kuziuza kwa mamilioni ya pesa?

Msechu aliwekwa NHC na Kikwete kusaidia kupitisha fedha za umma-usilolijua ni usiku wa Giza bora Magufuli alimtoa.
 
Huu ufanisi atauonyeshaje kwenye taasisi za umma na serikali ambako kumejaa urasimu, bora angejikita kwenye taasisi binafsi ndo tungeona huo ufanisi huko, kama vipi apewe kimeo cha ATCL aanze kututengenezea faida badala ya kuishia kuwa msajili........ngumu kumesa.​
Mfumo wa kiutawala wa hii Nchi ulivyo,hakuta tokea hata Siku 1 kukawa na ufanisi katika hayo mashirika na taasisi za umma hata wangemleta CEO ya APPLE.
 
Back
Top Bottom