hayo sometimes mnayatakaga wenyewe, wengi wenu sikuhizi hamjui kutongoza unakuta mkaka anamtaka mdada badala atafute namna ya kujieleza yeye kazi kujisifia, ooh nimesoma sana nina kazi nzuri sijui nina gari, hata hujasema ndio kila baada ya siku 2 unarushiwa vocha za elfu 5, unapelekwa dinner au lunch sehemu za bei mbaya, sasa hapo ntakaposema ndio unategemea hiyo ndio itakuwa ya nini? ya pesa zako ofcoz mana hujanipa rizon nyingine ya kukupenda zaid ya pesa zako, mwingine unakuwa huna hata interest nae lakini anakuganda unaona ngoja nianze kumpiga mizinga ya hela tena ndefu ili apotee lakini wala ndo kwanza kila ukiomba unapewa, unategemea nini hapo? siku ukiniambia sina ndo bye bye. Mjifunze kutongoza