J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
si wanataka changamoto haya azitafute sasa.ndio manake kwani hujui ama unataka kupata uhakika.
si wanataka changamoto haya azitafute sasa.ndio manake kwani hujui ama unataka kupata uhakika.
si wanataka changamoto haya azitafute sasa.
^^
Karibu tukae benchi Mkuu, mi nazisaka nije ninunue penzi la dhati.
^^
Penzi la dhati linauzwa wapi?
ha!ha!haa!kafulia huyo hana mkwanja angekua nao angekua na kibesi.anajua ila alikuwa hajaprove equation xaxa yamemtokea ndio analalama afu wanaume wa kulalamika mim siwapend jaman
Mapenzi bila ya pesa yanaenda!!
nimetoa statement lol....^^
Sijui umeshangaa au umeuliza swali au sijui nisiseme tu nachotaka kusema?
^^
^^
Popote pale ambapo kupenda au kupendwa hakuna thamani bila pesa.
^^
^^
Karibu tukae benchi Mkuu, mi nazisaka nije ninunue penzi la dhati.
^^
Teh mi mwenyewe natafuta wa kumkabidhi penzi la dhati....
Kwa maisha ya sasa, wachache sana wamebaki na mapenzi ya dhati... so kama umeamua kusubiri mpaka watokee wa ivo...
^^
Ntasubiri mpaka lini? Hata wale wazuri watulivu wameanza kuathiriwa na mitazamo ya pesa kwanza ndio aolewe unategemea nini nameless girl?
Ngoja tutafute pesa kabla LOVE SHOP hazijapata kibali kisheria na bei haijaingiliwa na EFD mashine
^^
l do still believe, kuna wachache wanaoelewa nini maana ya Love na Nini maana ya kuingia kwenye ndoa. Subira yavuta kheri mkuu...