Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

ha!ha!haa woga wako ndo umaskini wako! sema jina to hilo wallah!ningeicmamisha dunia kwa dakika moja ubadili historia from singo to dabo.

Sema neno moja tu na roho yangu itapona J.lee
 
Last edited by a moderator:
mshahau huyo... Anakula sato saiz na vibopa.
 
bila peas mwanaume hupendekk! hate Kama ni makeover watakutqdunia waking an pesa
 
Kuna demu nilikuwa na-date nae hapa Dar es Salaam akaamia Mwanza kikazi,akiwa huko akanipiga mzinga nikamwambia sipo vizuri ki-mshiko kipindi hichi anipe muda kidogo,tangu wakati huo amekata mguu hata mawasiliano afanyi na sms hajibu,na wapo wengi tu wa dizaini hiyo,kwahiyo hii inamaanisha na wanaume tuwe maplayer maana mapenzi ni mshiko au,

Kama unapgwa mzinga sio mapenzi anaekupend atakuchukulia da way ulivyo hapo hujapendwa mapenz hayanunuliwi ila vile vinavyo fanywa na wapendanao ndo vya nunuliwa
 
yote tisa ila fedha ni muhimu hata kwenye kuyaendesha hayo mapenzi yenu kwa nafasi na uhuru.
 
ha!ha!haaa bring me your ATM,tigopesa n M-Pesa beb evrythng z gonna be arlght.

Done

ATM.JPG
 
Back
Top Bottom