kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Jaribu kutumia tafsida kidogo!
Ndio kesharopoka tayari vumilia tu.
Jaribu kutumia tafsida kidogo!
Aiseeeee
sasa huyo mwenye pesa yeye hana Uc.h.i
kuna tofauti Kubwa sana Kati ya uchi na mapenziHivi PESA na UCHI bora nini?
Watu wanasema kwamba watu wanatafuta PESA ili wapate UCHI, na wenye UCHI wanauza ili wapate PESA, kwa kweli hili swali nimeshindwa kupata ufumbuzi kwamba ipi inadhaminiwa zaidi.
Tumeshasikia watu wakiuawa kwasababu ya PESA, pia tumeshashuhudia watu wakiuawa kwa sababu ya UCHI
JE NI IPI INA NGUVU KTK MAISHA YA BINADAMU WA SASA WA KIDIGITALI
kuna tofauti Kubwa sana Kati ya uchi na mapenzi
Akili fupi... Google hiyo pichaMapenzi haya badilishiki kwa pesa babu.
Hapa tunaongelea uch.i au tuweke picha?
Hivi wingi wa u..c..h.... Ni nini?
Kuna demu nilikuwa na-date nae hapa Dar es Salaam akaamia Mwanza kikazi,,,,,akiwa huko akanipiga mzinga nikamwambia sipo vizuri ki-mshiko kipindi hichi anipe muda kidogo,,,,,tangu wakati huo amekata mguu hata mawasiliano afanyi na sms hajibu,,,,,na wapo wengi tu wa dizaini hiyo,,,,,kwahyo hii inamaanisha na wanaume tuwe maplayer maana mapenzi ni mshiko au,,,,,

Teh mi mwenyewe natafuta wa kumkabidhi penzi la dhati....^^
Karibu tukae benchi Mkuu, mi nazisaka nije ninunue penzi la dhati.
^^