Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ukiwapata wanawake wenye pesa watakuweka ndani, utakula, utaenda chooni, utalala nk. raha sana. Ila hawa wa ambao hata ya nauli hana, ni pasua kichwa sana mkuu
 
Unajua bila pesa hata peke yako maisha yatakushinda mkuu.

Labda mapenzi bila utajiri hiyo inawezekana kabisa.
 
mapenzi yashaombewa siku hizi yanaona..sio upofu tena.
Hizo ni hadithi tu, hakuna mapenzi bila hela. wasichana wanataka relaxation, kama huna hela hawez kurelax hii yote ni kwa miaka hii ya sasa.
 
HAIWEZEKANI AISEE... mapenzi na njaa ni mwiko kabisa... raha ya penzi uppate unachokitaka loh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
HAIWEZEKANI AISEE... mapenzi na njaa ni mwiko kabisa... raha ya penzi uppate unachokitaka loh!!!!!!!!!!!!!!!!
Otherwise mnadanganyana, ndio yale ya kua na wapenzi watatu, binti anakua na ampendae then anaemwezesha na msaidizi. hii ni hatari sana
 
yani atakuwa anagonewa demu wake ... pesa mbele mapenzi badae ..[/QU
Hii yote inasababishwa na uharaka wa sis vijana, tunataka mambo makubwa ambayo sio saiz yetu. Watu watawezesha then watapita wewe utang'ang'ana na uboyfriend na ugirlfriend njaa
 
sasa msipokuwa na pesa hata mkiugua mtatibiwaje jamani?
 
haiwezekani kwakweli. tafta pesa kwanza.
Hizo nguvu za kutatua migogoro itakayojitokeza bora uhamishie kwenye ujasiriamali utapata hela then unaweza sasa kutembea kifua mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo...unachagua tuuuuuu
 
Back
Top Bottom