Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,977
Wenzenu tunamaintain six Packs tuendelee kuwa walinzi wa hela zetu....eti hela... Nikupe hela naumwa... Hahahaaaaaa.
Ulikuwa hujui???
![]()
Ulikuwa hujui???
![]()
my bebiooo!oh!my darling roho yangu maamaa! just singing KakaJambaziNi pm tafadhali, ila awe tayari kupima.
my bebiooo!oh!my darling roho yangu maamaa! just singing KakaJambazi
Mimi najiamini ila sipendi kuaminika...
^^
Once again, you turn into your shell
Da!
^^
Mi ndo mana bado nko single mpaka leo.
ha!ha!ha!haaa thanks 4 dedication but ukirejea huna chako.Nakudedikatia huu wimbo J.lee Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video) - YouTube
ha!ha!ha!haaa thanks 4 dedication but ukirejea huna chako.
aku sijui.You know y sija-like.
Ugali bila mboga unaenda? Nani anapenda kurumanga?
Tized shauri ako, "kama huna pesa mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji"Wenzenu tunamaintain six Packs tuendelee kuwa walinzi wa hela zetu....eti hela... Nikupe hela naumwa... Hahahaaaaaa.
Alieuza cheni bandia anakabidhiwa noti bandia. Mapenzi ya siku hizi wizi mtupu
Tized shauri ako, "kama huna pesa mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji"
Hahaaa. Pesa ninayo ila sitaitoa kununua hio kitu aisee. Dhamiri yangu inagoma kabisa. ''Its a humiliation of mankind''
Kwani shida nini bhana... si ntakula tu kwa macho yakhee... hahahahhaha... Ata hivyo siwahitaji kihivyo...
Nitakuwa msaada kwake kadiri nitavyoweza ila kitendo chochote kitakachoonesha nalipia hio kitu. sitakifanya.. labda nisijue kabla ya kukitenda kuwa kinaashiria ununuzi.
thubutuuuu sizitaki mbichi hizi.....