Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

wadada wa siku hizi Pasua kichwa sana, tamaa zimezidi. ni vigumu sana kumiliki mwanamke wa mjini kama huna pesa.!!
Hapo nimepigilia mstari, unaona lugha yako? ndio tatizo lako
kama unataka KUMMILIKI mwanamke basi sio mapenzi hayo,
you will have to pay the price (literary) don't complain
 
Japo tunatambua kuwa pesa ndio inathamani kuliko kitu chochote hapa duniani, lakini pia pesa hii hii kuna maeneo mengine haipaswi itawale...

Linapokuja suala la mahusiano,sio vizuri kuipa pesa nafasi kubwa..Kuipa kipaumbele pesa ndicho chanzo cha wewe kukosa mapenzi ya kweli.Tambua wazi kuwa mahusiano yoyote yale yanayotawaliwa na pesa,mara nyingi mwisho wake ni mbaya..

Napenda niwape mfano huu ambao ni wa kweli:
"Nilikuwa na rafiki yangu ambaye alikuwa akifanya kazi katika kampuni fulani. Sio siri pesa alikuwa nayo. Alipata binti mmoja ambaye hata mazingira yenyewe ya kumpata yalikuwa ya pesa. Kwani maeneo tu ambayo walikutana ni sehemu za starehe.

Walifanikiwa kuishi pamoja na ndani ya miaka mitatu ya raha mwaka mmoja tu ndio uliovunja mapenzi yao.
Siku jamaa alipoachishwa kazi na pesa kupoteza mwelekeo, binti yule aliamua kumkimbia na kumwambia kuwa amezoea raha hivyo hawezi kuishi na mwanaume ambaye hana pesa."

Katika mfano huu mimi naamini kuwa kama jamaa angemtafuta binti yule katika mazingira ya kimasikini, sidhani kama baada ya kukosa pesa angekimbiwa.

Jaribu kufanya uchunguzi wewe mwenyewe kwa wasichana wale wote wanaonekana wapenda starehe,hawana mapenzi ya dhati.

Pedeshe akikuhonga pesa ujue atamuhonga hata mwingine hivyo hivyo. Matokeo yake ni kuambukizwa magonjwa ya zinaa.

Kama kweli unahitaji mapenzi ya kweli, usiweke pesa kama kigezo. Mapenzi sio pesa, mapenzi ni moyo wa mtu.
 
mapenzi si pesa sema pesa ni catalyst kwenye mapenzi, si wajua tena siku hizi mitoko na mi suprize. Tena sisi wa tz mtu hataki umletee zawadi ya ua anataka umletee zawadi ya iphone au cheni ya gold gram za kutosha.
So bila catalyst reaction itachelewa sana
 
Nikas hujaelewa .. Hapa mapenzi tunayoyaongelea sio ya mtu kuwa na oesa then kuanza kuhonga honga nje huko.. Tunaongelea uhusiano wa watu wawili na mke anamtegemea mume . Ana gf wake.. Sasa ww kidume ukishapigika tu ujue hata kama unapendwa kwa dhati but its just matter of time utakwenda na maji
 
Oh really?

So who's the lucky prince charming currently enjoying the damsel's love?
hehehe, a lucky charming prince... I will say no more in this jukwaa
But of everybody here, you are the most likely to know who he is. 😉
 
mapenzi si pesa sema pesa ni catalyst kwenye mapenzi, si wajua tena siku hizi mitoko na mi suprize. Tena sisi wa tz mtu hataki umletee zawadi ya ua anataka umletee zawadi ya iphone au cheni ya gold gram za kutosha.
So bila catalyst reaction itachelewa sana
Unakosea ukisema itachelewa.. Hapa reaction haitotokea kabisa
 
Nikas hujaelewa .. Hapa mapenzi tunayoyaongelea sio ya mtu kuwa na oesa then kuanza kuhonga honga nje huko.. Tunaongelea uhusiano wa watu wawili na mke anamtegemea mume . Ana gf wake.. Sasa ww kidume ukishapigika tu ujue hata kama unapendwa kwa dhati but its just matter of time utakwenda na maji

sawa sasa nimekuelewa. nimeandika hayo kutokana na baadhi ya maoni ya watu kadhaa katika thread hii

Pia unaweza kuwa na pesa lakini usi enjoy chochote kwenye mapenzi.....
 
Unakosea ukisema itachelewa.. Hapa reaction haitotokea kabisa

Basi nabadili kauli ila sifuti, reaction itatokea lakini mostly itakuwa haina nguvu kama ulitegemea kuzalisha maji utaishia kuona mvuke.
Hata hivyo eti no body stands for a looser if you loose jua umekuwa one man army
 
Pesa jamani ndio kila kitu .. Bila pesa hakuna mapenzi trust me
Hawa walioleta msemo kuwa mapenzi sio pesa nia yao ni kufarijiana na kuulinda umaskini.. Ni kama wale wanaodai kuwa eti kibamia sio kero
Note:ceteris paribus
Naomba kutokubalina na hoja! Mapenzi ni mahaba na maridhiano baina ya wapenzi. maridhiano hayo yanasukumwa na ridhaa na matakwa yao. Ukwasi ama umaskini si hoja..kwani hata katika ufukara kuna watu wenye mapenzi moto moto kuliko hata waliotopewa na wingi wa utajiri wa pesa...ila pesa ni chachandu mojawapo ya kukoleza mapenzi lakini si msingi wa mapenzi. Nawasilisha
......hivi viumbe wengine km njiwa, punda, mbogo nk hawana mapenzi? maana sijaona wenye mapeni!!
 
mh! hao wenye hela nao tushakua nao,mwisho wa cku hakuna cha maana zaidi ya kula gudtym!ikifika muda u need a family ni utata!
...kiukweli km hana kazi ya kumuingizia mshahara kila mwezo itakuwa ngumu!
 
Naomba kutokubalina na hoja! Mapenzi ni mahaba na maridhiano baina ya wapenzi. maridhiano hayo yanasukumwa na ridhaa na matakwa yao. Ukwasi ama umaskini si hoja..kwani hata katika ufukara kuna watu wenye mapenzi moto moto kuliko hata waliotopewa na wingi wa utajiri wa pesa...ila pesa ni chachandu mojawapo ya kukoleza mapenzi lakini si msingi wa mapenzi. Nawasilisha
......hivi viumbe wengine km njiwa, punda, mbogo nk hawana mapenzi? maana sijaona wenye mapeni!!
Kama umeshasema kuwa ni chachandu sasa hapo hujakubaliana na mimi kwenye nini? Naona umezunguka ila umekuja kukubaliana na hoja yangu
 
Back
Top Bottom