Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
kwakwel umpe mwanaume hela! Khaa,bora niifanyie nn aisee
bora uweke kwny kibobo ikusaidie
siku nyingine lol!
kwakwel umpe mwanaume hela! Khaa,bora niifanyie nn aisee
bora uweke kwny kibobo ikusaidie
siku nyingine lol!
Watamsusia papuchi yake hio atafanyaje mwenzako
Kwa hio akipata kidume chenye pesa ndio atakuwa anakipa papuchi yake si ndio? Na hiko kidume kikiishiwa na pesa itabidi tena atafute kingine ndio kiwe kinampapachua tena ? Ama sjakuelewa vizuri?atapata mwenye fedha zake
bana,anaejua jukumu lake kwa mtoto
wa kike!vidume suruali vinavyosubiri kuhongwa vishindweee!
Aaah wapi bhana, the only interesting thing about a man is his wallet. Kama wapo wanadunda kuna fidia vipembeni wife atakuwa anafanya kamuzi la kufa mtu; hebu jamaa ajifanye kauzu wa kubana vijimianya aone kama demu hatasepa. Manake sasa aondoke kwenda wapi na kufanya nini wakati yote anaweza kuyafanya akiwa hapohapo?!!Daaaaaaaaahhhh Black Bat sasa na hawa ambao hawana pesa na wanapendana na wanaishi miaka nenda tuwaweke kwaneye kundi lipi sasa?
Nimekupenda bure kwa maneno yako
Unaongea ukweli mkuuJapo tunatambua kuwa pesa ndio inathamani kuliko kitu chochote hapa duniani, lakini pia pesa hii hii kuna maeneo mengine haipaswi itawale...
Linapokuja suala la mahusiano,sio vizuri kuipa pesa nafasi kubwa..Kuipa kipaumbele pesa ndicho chanzo cha wewe kukosa mapenzi ya kweli.Tambua wazi kuwa mahusiano yoyote yale yanayotawaliwa na pesa,mara nyingi mwisho wake ni mbaya..
Napenda niwape mfano huu ambao ni wa kweli:
"Nilikuwa na rafiki yangu ambaye alikuwa akifanya kazi katika kampuni fulani. Sio siri pesa alikuwa nayo. Alipata binti mmoja ambaye hata mazingira yenyewe ya kumpata yalikuwa ya pesa. Kwani maeneo tu ambayo walikutana ni sehemu za starehe.
Walifanikiwa kuishi pamoja na ndani ya miaka mitatu ya raha mwaka mmoja tu ndio uliovunja mapenzi yao.
Siku jamaa alipoachishwa kazi na pesa kupoteza mwelekeo, binti yule aliamua kumkimbia na kumwambia kuwa amezoea raha hivyo hawezi kuishi na mwanaume ambaye hana pesa."
Katika mfano huu mimi naamini kuwa kama jamaa angemtafuta binti yule katika mazingira ya kimasikini, sidhani kama baada ya kukosa pesa angekimbiwa.
Jaribu kufanya uchunguzi wewe mwenyewe kwa wasichana wale wote wanaonekana wapenda starehe,hawana mapenzi ya dhati.
Pedeshe akikuhonga pesa ujue atamuhonga hata mwingine hivyo hivyo. Matokeo yake ni kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
Kama kweli unahitaji mapenzi ya kweli, usiweke pesa kama kigezo. Mapenzi sio pesa, mapenzi ni moyo wa mtu.
?????Bila pesa utaishia kumuopoa huyo Yesu wako. Kalagabaho!!
money is important and we cannot ignore its role in love life, but there certain things which cant be bought with money, u dnt need money to be loved. bt u need money to keep ur love life in existence.
Yes yes yes yes .Mwanaume bila Pesa extremely sad and stress .Hata mbinguni hawatoenda " men is the provider " .They need to go to jail for that
Mapenzi bila pesa yanawezekana lakini Pesa ndio haswaaaa hunogesha penzi......natoa wito kwa kaka zangu waongeze bidii kutafuta hela kwani bila hela duniani ni shida Hasa kwa maisha ya mahusiano..