Pesa jamani ndio kila kitu .. Bila pesa hakuna mapenzi trust me
Hawa walioleta msemo kuwa mapenzi sio pesa nia yao ni kufarijiana na kuulinda umaskini.. Ni kama wale wanaodai kuwa eti kibamia sio kero
Note:ceteris paribus
Si uende ukafunge ndoa na benki basi, kama kweli mapenzi ni pesa.
mm nawaambia wako wanawake wengi walidai mtu asiye na pesa hawezi kumuoa, kweli wapo waliolewa na wenye pesa, asilimia zaidi ya 90% wanajuta kwann walidanganyika kuolewa na watu wenye pesa, kwani hakuna kitu walichokitarajia. Jamani pesa zinatafutwa lakini upendo/kumpenda mtu hakutafutwi kunapaswa kutoka moyoni na kwa hiari, kumpenda mtu hakulazimishwi. kwan watu wangapi vijijini wanaoana hawana hata kitanda lakini wanakaa kwa wazazi wao kwa miaka 3, wanajenga nyumba zao na kisha kujitegemea na kutafuta na kupata pesa wazitakazo? tafadhali msiwapotoshe watu, kuolewa/kuoa mtu usiyempenda hata kama ana fedha kama za Biligate, utaishi maisha yaliyojaa taabu, kwan hamjasikia wake wa mawaziri/wabunge/marais/mapedeshee wanatembea na watunza bustani, je hao nao hawana fedha?
Wako wengine waliwakimbia waume zao kwa madai kuwa wana vibamia, wakabahatisha wanaodai waliwahitaji wenye maumbile makubwa, leo hii wako kwenye mitandao ya kijamii wanalalamika kuwa wanaumizwa na waume zao wenye maumbile makubwa kila wafanyapo tendo la kujamiana, hadi wengine wamekimbia. Tena mtaani hadi kwa makahaba imefikia mahali mwanaume akitaka kumchukua akazini naye anamkagua kwanza, akiona mzee ana mziki mnene anakimbia, kweli dunia hii ina vituko vikubwa kweli.
Ziko baadhi ya ndoa zilizofungwa kabla ya watu kuonjana zimevunjika kutokana na mzee kuwa na maumbile makubwa, sasa haya ya leo nayo mapya. taarifa ziko mtaani kwetu, mwingine aliolewa na jamaa, jamaa hakuzima taa, akataka wafanye kwenye taa, mke alipoona, akasema haiwezekani, mbona utaniua? haya tuache la nani na tushike la nani?
Kuna baadhi imefikia tunaenda hospitalini na kuwekewa alama kwamba tufanyapo tendo tusiingize zaidi ya bangili hiyo, matokeo yake tunakosa raha yote tunayotakiwa kuipata. Baadhi yetu kwa kutozingatia bangili/ring tuliyowekewa, tumeharibu vizazi vya wake zetu hawazai tena? sasa sijui hebu mtusaidie namna gani na ss tupunguze kidogo ili tupate raha yote. hivi kwani hatujasikia mtaani hadi kwa wanamuziki wanasema fupi tamu ndefu inakera?
kwa mtizamo wangu hili naona halina tofauti na tafsiri ya mwanamke mzuri wengine wanadhani ni kuwa na sura nzuri, wengine tabia, wengine makalio makubwa, wengine miss, wengine cheupe, wengine mweusi, wengine mrefu, wengine mfupi, wengine mnene, wengine mguu wa chupa, wengine mguu wa bia, wengine macho makubwa, wengine mdomo mkubwa, wengine meno meupe, wengine jinsi anavyocheka, wengine shingo ndefu, wengine pua kubwa, wengine meno yenye rangi kama wanyaturu, wengine miguu mwembamba, wengine umbo namba 8, wengine umbo namba 6; ilimradi kila mtu na chaguo na mawazo yake uzuri ni nini kwake.
kweli ulimwengu tambara bovu kila kukicha kuna usemi unaopinga ya jana na leo,
tz haikaukiwi habari, hata tume za kuchunguza kwann panya wanaishi zinaweza kuundwa na watu wakalipwa posho ya kukaa kitako.