Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
eheheeeeekujiendekeza tu
mi mwanaume akila hela yangu
lazima nilazwe aisee!bora nimpe mtt wa mitaani!
eheheeeeekujiendekeza tu
mi mwanaume akila hela yangu
lazima nilazwe aisee!bora nimpe mtt wa mitaani!
duh yaani wanaume wangejua.???? anajifanya kuwa bahili analishwa haramu daily! hasara sana kuolewa na watoto wa mama! mimi mwanaume mvivu au anaenililia shida sekunde simalizi nae! yaani angegede na hela nimpe tena kwa kugegedwa kwingine akuuuuuuuuuu!Smile shosti si vi BF tu! Hata Wanaume wengi sanaa ndoa zao ni kwa hisani ya wake zao! Wanaume pesa yao kwa wake zao haionekani kabisaaa au kwa machale. Wanawake ndo kujipinda kuficha aibu ya kuazirika. Hapo ndo nakuta sasa wanaendelea kuchuna japo wameolewa.
Kuna mwanaume namjua bonge ya handsome anafanya kampuni maarufu tu middle level, Mishahara yenyewe hii yebo kila mtu anaijua ana mkewe shosti wangu! Mwanaume mchaga mwenzangu yule si mtoaji kabisaaaa!
Na mkewe anamlamba kisogo tu kuwa anafanya biashara za China na Bangkok uzushi mtupu! Wanaishi expensive, and i mean very expensive kwa hisani nzito ya Mwarabu na Mheshimiwa flani hivi. Mme hatoi pesa wala haulizwi, kazi kushinda Las Vegas na ku gamble na kuweka heshima casino na owners wa makampuni makubwa makubwa. Mke yeye anagawa premende tu kwa mwarabu na Mheshimiwa mume wa mtu.
Happy 7 years of marriage and 2 kids.
Ukweli ni kuwa kama huna hela usioe wadada wa mujini, hutoweza kuwa afford watakugongea mpaka baaaaaaaass! Ni watu wanaotaka mambo makubwa makubwa fasta fasta na uchumi wao hawa ukalii kizembe!
asie fanya kazi na asile!Mungu hakuagiza iwe hivyo ni mawazo ya shetani ndani ya fikra za binadamu yanapelekea Kupenda hela kuliko utu
Kumbuka Yesu alisema kuwa siku ya mwisho watu watakuwa wapenda pesa na kujipenda binafsi...............
watuache tupumueyou are absolutely right pesa inanogesha mapenzi bana ni kama kachumbari kwenye pilau au chachandu kwenye mihogo, ukibisha wewe mbishi tuuu alaah!
hata mimi aisee kuna mkaka alinitongoza nikiwa namfikiria akanitumia sms anaomba laki na nusu ana kazi nayo nilirusha na simu huko sijaitumia tena hadi leo
labda kwa kunitongozahaaaa!laki na nusu
kwa kazi ipi aliyofanya
mi hata elfu tano simpi ng'oooo!
ebu m pesa m euro mia nikaoge
Sasa Yesu alikuwa anazungumzia siku za mwisho zipi,au alikuwa anazungumzia siku za mwisho wake yeye hapa duniani?maana hata kilichomfanya yeye akamatwe na kuuawa ni hizo hizo pesa alizozitamani yuda,na huko kujipenda binafsi pia kulikuwepo,si unaona Petro kwakujipenda binafsi alimkana yesu hadharani,mimi nadhani zile siku za mwisho zilikuwepo tangu mwanzo!!!sidhani kama kuna siku za mwisho mpya!!!Mungu hakuagiza iwe hivyo ni mawazo ya shetani ndani ya fikra za binadamu yanapelekea Kupenda hela kuliko utu
Kumbuka Yesu alisema kuwa siku ya mwisho watu watakuwa wapenda pesa na kujipenda binafsi...............
labda kwa kunitongoza
biblia hiyohiyo inasema pesa ni jawabu la mambo yoteasie fanya kazi na asile!
biblia hiyohiyo inasema pesa ni jawabu la mambo yote
Mungu hakuagiza iwe hivyo ni mawazo ya shetani ndani ya fikra za binadamu yanapelekea Kupenda hela kuliko utu
Kumbuka Yesu alisema kuwa lllsiku ya mwisho watu watakuwa wapenda pesa na kujipenda binafsi...............
mwambie mkuu hakuna jipya chini ya jua !Sasa Yesu alikuwa anazungumzia siku za mwisho zipi,au alikuwa anazungumzia siku za mwisho wake yeye hapa duniani?maana hata kilichomfanya yeye akamatwe na kuuawa ni hizo hizo pesa alizozitamani yuda,na huko kujipenda binafsi pia kulikuwepo,si unaona Petro kwakujipenda binafsi alimkana yesu hadharani,mimi nadhani zile siku za mwisho zilikuwepo tangu mwanzo!!!sidhani kama kuna siku za mwisho mpya!!!