Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,670
Sitaki sasa kwani unanilazimisha mi niwe mwansiasa au?
Isozi ni siasa za kufarijiana.
Isozi ni siasa za kufarijiana.
Sasa Black Bat em kuwa spesific basi we unaongelea kuwa ni nani anyetakiwa kuwa na pesa ili mapenzi yaendelee?ni wote au mwanaume?maanake umesema hao ni wa level moja?
Ni kweli kbsa. Binafsi sina pesa hivyo nimeamua kutojihusisha na mapenzi. Aibu jmn niwe na mwanamke hata kwenda naye Steers juice Tsh 3500 nishindwe..bora nikae pembeni ntakuwa na mpenzi nikipata hela.
issue sio hela uwajibikaji wa hawa kaka zetu umekuwa ziro wanataka kulelewa nao eti! na sisi wanawake hatutaki mizigo
manoah wewe usimseme shameji yako ujue!mi sitaki shem wako ananipenda kiweli bila kinyongo tena kutoka moyoni na umaskini wangu na wala sijawahi kusikia anatoka nje labda nianze uchunguzi wangu sa hizi.
Mapenzi bila pesa kwa wadada wanaojiita wa mjini hayawezekani,hana kazi anataka lace wig anataka kutembelea gari anataka kuvaa CL sasa bila hela yatawezekana vipi ndio mana wengne wanaoelewa na wenye mahela ila wanachakachua na wale wanaowapenda kwa dhati
you have made a point mdadaHapa umenena.Issue sio pesa ila uwajibikaji.KAZI NI KIPIMO CHA UTU.
ah ah! Usijali my kaka kumchunguza shemeji angu. Ujue kuna Level za wana wake una weza kuta kuna wa 3G, 4G na hata 5G, tatizo lina kuja pale unapo bahatika kumpata wa 5G huku wewe ni wa ni 3G ndio utaona kama pesa ahitajiki.
Bila pesa utaishia kumuopoa huyo Yesu wako. Kalagabaho!!Mungu hakuagiza iwe hivyo ni mawazo ya shetani ndani ya fikra za binadamu yanapelekea Kupenda hela kuliko utu
Kumbuka Yesu alisema kuwa siku ya mwisho watu watakuwa wapenda pesa na kujipenda binafsi...............
Kuna mapenzi na ngonoKama mapenzi pesa oa benk
Kama mapenzi pesa, walioolewa/olewa na wenye nazo wanatafuta nini kwa Mtogole saa 12 asubuhi badala ya kuelekea kwenye maofisi yao yenye viyoyozi??
Bila pesa utaishia kumuopoa huyo Yesu wako. Kalagabaho!!
jameni wkend wapi
Tatizo la sisi wadada sometimes sijui ni kujirahisi, sijui ndo wachumba wamekuwa wachache, mh! Basi unampata boyfriend, unamwambia swty nimekumiss akisema tu hana nauli kha! Ushamtumia taxii, au ticket ya ndege, ni jamani! Sasa huyu si kumdekeza ni nini? Hivi akikuoa unafikiri atafanya nini sasa?
Mapenzi ni pesa kwa yule anae define mapenzi in quantifiable.
Badili kwanza definition yako ya mapenzi ndio utajionea
how love is so expensive that it ends up being free.
hata mimi aisee kuna mkaka alinitongoza nikiwa namfikiria akanitumia sms anaomba laki na nusu ana kazi nayo nilirusha na simu huko sijaitumia tena hadi leo
Bila pesa utaishia kumuopoa huyo Yesu wako. Kalagabaho!!
Luckily it happens. As a matter of fact I am in love right now. :A S-heart-2:Do you love?