kwako Rais Samia hajawahi na hatopatia kwa jambo lolote analofanya. vuta subira ikifika 2025 kafanye maamuzi yako..Rais Ssh hajui namna ya kufanya utani anapokuwa jukwaani.
..alichofanya Ssh ni kuleta mipasho na matokeo yake akaanza kujibiwa na ofisa mdogo toka Kenya.
Bila kuzungumza (practice) ni vigumu kujua kwani watanzania hawatumii sana kiingereza kuwasiliana!Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
Sasa na hii ni habari, ya kuleta jfWakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza
Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
View attachment 2743772
Video yako hai play
hakikufutwa, ila wananchi hawakuzoeshwa kuongea. Shuleni kwenyewe kipo kama hakipo ndio maana watanzania wengi hawajui kuongea lugha hii. Wanaoongea ni hao walioko maofisini, tena wanaongea cha kubabaisha. Kwa ujumla watanzania hawaongei kiingereza na hawakijuiKwani lini Kingereza kilifutwa kutumika Tanzania?
Lugha ni jitihada ya mtu.hakikufutwa, ila wananchi hawakuzoeshwa kuongea. Shuleni kwenyewe kipo kama hakipo ndio maana watanzania wengi hawajui kuongea lugha hii. Wanaoongea ni hao walioko maofisini, tena wanaongea cha kubabaisha. Kwa ujumla watanzania hawaongei kiingereza na hawakijui
Kwa taarifa yako exposure niliyonayo ndio inanifanya nione mapungufu tena ya kizembe yaliyoko hapa nchini.Kenya hakuna uongo na Uzombie kwa kuwa wanajua Kiingereza? katika kosa ambalo naweza kumlaumu Nyerere ni kuwanyima exposure wa Tanzania kama Wewe maana unaona kila kitu cha nje ya Nchi yako ni kizuri na kila kilichofanywa Nchini ni kibaya
ungekuwa na exposure usingehusisha maendeleo ya Nchi na watu na Kiingereza.Kwa taarifa yako exposure niliyonayo ndio inanifanya nione mapungufu tena ya kizembe yaliyoko hapa nchini.
Maendeleo hayana uhusiano na Lugha, kung'ang'ania Kiingereza wakati mna Lugha yenu ni utumwa na Ujinga pia, kwani Germany, Ufaransa, Japan, China wana ongea Lugha gani? Mbona wana maendeleo kutushinda sisi tunao hangaika na Yes yes zisizo na misingi?ungekuwa na exposure usingehusisha maendeleo ya Nchi na watu na Kiingereza.
kuna Nchi nyingi tu na zingine zinapakana na Uingereza na watu wake hawajui Kiingereza na wako fresh tu na kuna Nchi nyingi tu zinaongea Kiingereza na watu wake ni pangu pakavu! exposure gani iliyokufanya uamini Kiingereza ndio ufunguo wa maendeleo?
Huenda unajibu post ya mtu mwingine kwenye post yangu, hakuna popote nilipoongelea kiingereza, sana sana nilikuambia Kenya hakuna uoga na uzombie kama hapa. Hayo ya kiingereza umeyataja ww kwani unabeba post za Wingine na kujibia hapa kwangu. Pitia kote kwenye post zangu nilipokuquote kama nimeeandika neno kiingereza popote.ungekuwa na exposure usingehusisha maendeleo ya Nchi na watu na Kiingereza.
kuna Nchi nyingi tu na zingine zinapakana na Uingereza na watu wake hawajui Kiingereza na wako fresh tu na kuna Nchi nyingi tu zinaongea Kiingereza na watu wake ni pangu pakavu! exposure gani iliyokufanya uamini Kiingereza ndio ufunguo wa maendeleo?
Kwahiyo kuswali kwa Kiarabu siyo sahihi?Maendeleo hayana uhusiano na Lugha, kung'ang'ania Kiingereza wakati mna Lugha yenu ni utumwa na Ujinga pia, kwani Germany, Ufaransa, Japan, China wana ongea Lugha gani? Mbona wana maendeleo kutushinda sisi tunao hangaika na Yes yes zisizo na misingi?
English hii tulionayo inatosha kutuma email, kupiga simu na kuuza bidhaa nje, cha msingi kuliko yote ni maendeleo.
Nyerere alitoka butiama kwenda tabora school akijua kiswahiliKiswahili kimechangia sana kuleta amani na utulivu hapa nchini
Hongera sana Great thinker Julius Nyerere kwa jambo hili kubwa sana
Wanajionaga wazungu hivi wakenya wangekuwa na light skin kama Ethiopian tungekomaNilikaa Kenya miezi 3 Nairobi Cty maenei ya Gymkhana sikuwahi kuona watu wakizungumza kiingereza mtaani.kinachowasaidia Kenya tokea chekecheka watoto wanasoma kwa English
Wakikua wataacha.Kwahiyo kuswali kwa Kiarabu siyo sahihi?
huwa napata kazi ya kuandika qur an misikitini, baadhi ya walimu wa madrasa hukosea sana maandishi wanayonipa. Ni bora mimi mwenyewe nijifunze na kujua kuandika kiarabu kwa ufasaha kuliko kutegemea kupewa maneno na hao walimu wanakosea sana halafu inaonekana ni mimiLugha ni jitihada ya mtu.
Binafsi pia naongea lugha ambazo sikufundishwa shuleni. Mfano Kireno na Kifaransa.
Tena siku hizi miaka ya AI ni wepesi sana kujifundisha lugha yoyote ile ya Kimataifa.
Ungependa kujuwa lugha ipi zaidi? Nikupe links ujifundishe.
.Anza na Kiarabu, kinakaribiana sana na Kiswahili: https://www.udemy.com/course/arabic...._pl__._ti_kwd-10572020_._li_9069895_._pd__._
Sio sahihi, hata tunao tumia kiarabu tuna soma vitabu kwa kiarabu lakini tuna toa mawaidha kwa kiswahili, maana kuna upungufu wa watalaam wa kutafsiri kiarabu kwenda kiswahili kwa dini husika, mungu haangalii lugha , anaangalia matendo ya mtu .Kwahiyo kuswali kwa Kiarabu siyo sahihi?