lugha ya kiswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri maandishi na video ya kiingereza kwenda lugha ya kiswahili kwa bei nafuu

    NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

    Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu". Hivi, ni namba za simu au namba ya simu? Cc macho_mdiliko, min -me .
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

    Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana nchini kongo hadi kunamaeneo hawazungumzi kabisa Lingala , ukienda mashariki mwa kongo kiswahili ndio lugha inayozungumzwa sana.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa; Lugha ya Kiswahili ina nafasi gani katika nchi ya Uganda

    Hivi karibuni nikiwa katika peruzi mtandaoni nilikutana na picha inayoonesha pesa za Uganda zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya kiswahili Swali langu Je lugha ya kiswahili inatambulika kisheria katika nchi yao , lakini naona kama wa Uganda wenyewe hawakizingatii sana kiswahili
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  9. K

    JamiiForums Tanzania App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha enoko kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh

    Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Na hii ndio maana halisi ya neno NGONO

    Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono? Soma pia: Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii
  12. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili

    OFFER. OFFER, OFFER, OFFER... JIPATIE VITABU ZAID YA 74 Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu. Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Maadimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani Julai 7, 2025; Neno gani la Kiswahili ambalo mpaka leo hujui maana yake?

    Leo Julai 7, 2025, dunia inaadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuimarisha mawasiliano, utamaduni na mshikamano wa kijamii. Maadhimisho ya mwaka huu yamebebwa na kauli mbiu “Kiswahili kwa Amani na Mshikamano Tangu mwaka...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden: Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025 Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden. Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 Sundbyberg. Tarehe: Julai 5, 2025. Muda: 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni. Burudani: Saa 1:00 Jioni -...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  17. PamojaTz

    JamiiForums Tanzania Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Neno "tia" linatakiwa litumike wapi katika Kiswahili fasaha?

    Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu wa pwani katika mambo mengine mbambali mfano mapishi, "tia chumvi", "tia nazi", "tia mafuta" n.k...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiswahili imeongezwa kwenye huduma za Tafsiri, Utafutaji wa Sauti na GBoard kupitia Google

    Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'. Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Back
Top Bottom