Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF

nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!

huenda siyo magamba unayoyafikiria wewe..........................ila magamba ya mahaba..........................jicho la husuda linaashiria..................love is on the air...................just brace yourself for the kick of your lifetime.....................................unless of course you are not singular........
 
pole sana lakini kama ukiendelea kusumbuliwa toa report kwenye vyombo husika

huko si magamba tu wamejaa......................yaani afadhali upambane kivyako.......................huko watakubambikizia kesi...........
 
Duh afadhali umenistua nilikuwa na mpango wa kukutana na kidosho wa JF siku ya J2 itabidi nimpoteze ahaaa aaaa,kwanza unaweza kukuta ni lidume mwenzangu hafuu ikawa tabu bin tafrani JF kweli kiboko.
 
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
Anakufuatilia kivipi..???
 
Kuwa na amani tu vinginevyo wewe mtenda maovu
 
Duh afadhali umenistua nilikuwa na mpango wa kukutana na kidosho wa JF siku ya J2 itabidi nimpoteze ahaaa aaaa,kwanza unaweza kukuta ni lidume mwenzangu hafuu ikawa tabu bin tafrani JF kweli kiboko.
'''
  • Mbavu zangu mie kwa kicheko
 
Kwani magamba wana nini ndg yangu hadi ukose amani?.

Usiwe mwepesi wa kujitambulisha hovyo.
 
Mzalishe kwanza halafu urudi kwenye harakati....utaona anakuwa mpole.
 
Wasiwasi wa bure mkuu, mbona sie wengine tunafahamiana na wanamagamba kibao lakini hatuna mashaka hata kidogo.

Kama unaandika habari za kuzua hapa, bila shaka utakuwa na wasiwasi lakini kama unaandika mambo ya ukweli kwanini uwe na wasiwasi?

Hata huko fesi buku mbona tunawarushia makombora kama kawaida mkuu na hatuogopi. Labda kama huyo mwanamke yeye binafsi ana agenda ya siri dhidi yako hapo nitakuelewa.

Hatahivyo, pole kwa kitisho, siku nyingine usiwe mwepesi wa kujitambulisha. Au kwa kuwa ni mwanamke ulikuwa na matarajio!!??

Kamanda huyu best,hakuna ajabu ndiyo kati ya wale magamba sugu. Na bila shaka ndio hawahawa wanaotuchafulia hali ya hewa humu.
 
Pole sana mkuu, maisha ndo yalivyo. Angalia wasije waka kumwakyembe, magamba noma
 
mbona watu wengi wameweka majina yao kamili awaogopi kama wewe yupo dr.kitila mkumbo,Nape dr.slaa,zitto. mbona tunawajua kwa majina yao na hawaogopi kabisa au kuna tatizo lingine umefanya? maana vijana wa sasa hamkawii kumwaga sera
mhhh hilo nalo neno
 
hahahaha...oohhpsss.. ngoja nipumue maana tulishapata hofu tulikwisha tambulishana nikajua tayari nilifanya mistake....kumbe no ni sahihi kabisa...senkyuuu
Mmh! Pole eeh. Ukiona wamekujua sana njo na ID mpya. Watu tushajuana vya kutosha.
 
mi tayari nshachakachua mojawapo ya bnt member humu wa magamba na hana noma. Acha uoga we kijana.. Tena hcho kidemu cha magamba huwa kina mdomo sana humu jf na hata fb. Halafu kitamu hcho.
 
mbona watu wengi wameweka majina yao kamili awaogopi kama wewe yupo dr.kitila mkumbo,Nape dr.slaa,zitto. mbona tunawajua kwa majina yao na hawaogopi kabisa au kuna tatizo lingine umefanya? maana vijana wa sasa hamkawii kumwaga sera
Kwenye nyekundu alisha likataa....
 
Dah mkubwa unawaogopa magamba khaaaaa, mie namtaka huyo anayekusumbua aje akutane na mie
 
Hivi nape
alikataa hadi ile
picha kuwa si yake
wakati ule alipokataa
kuwa si yeye?hahahahaha
 
Back
Top Bottom